Mechi ya kirafiki ya watunza fedha kwa ajili ya kuwakaribisha access bank wilayani kahama imefanyika leo katika uwanja wa halmashauri wilayani kahama mkoani shinyanga,na mechi ilimalizika CRDB wakishinda 2 -1 dhidi ya ACCESS BANK .
vikosi vyote vikiwa katika picha ya pamojaCRDB BANK TEAM
ACCESS BANK TEAM
CRDB DREAM TEAM
TUNAWAWEKEA PESA LAKINI HUKU PIA TUMO
kutoka kulia golikipa wa access bank bw: hamis akiwa na staff mwenzake
mzungu wa kwanza kucheza uwanja wa halmashauri usukumani kahama
picha zote na bakari khalid(beka mtanzania wa kahama fm)
0 Comments