Akitamba na vibao vyake kama “Paka La Bar”, “Nakomaa na Jiji”, pamoja na ngoma yake mpya iitwayo ”Chuna Buzi”, mwanadada
Shilole ambaye ni muimbaji, muigizaji na pia ni mama wa watoto wawili,
amefunguka kuhusu maisha yake jinsi alivyopambana mpaka kufikia hapo
alipo, harakati zake za kimuziki, na misukosuko iliyompata kupitia
kipindi cha televisheni maarufu kama Sporah Show… VIDEO clip ya tukio hii hapa chini...
0 Comments