Msanii wa Bongo Movies Ametoa ushauri kwa waigizaji wenzake wa kike kuwa Muda wa kuvaa nusu uchi na kupiga picha kuzitupia kwenye mitandao ili kupata umaarufu umekwisha,
siku hizi ukivaa nusu uchi unaonekana Malaya tu ...Amewaasa kuwa wafanye
kazi na kutoa kazi zinazouzika sokoni .Amewaambia kuwa wajifunze kutoka kwake kwani huwa anavaa vizuri uwezi kukuta picha zake za uchi uchi mitandaoni
0 Comments