Hatimaye P-Funk Majani Producer wa muziki wa bongofleva ambaye amedumu katika game karibuni miaka 20 amefunga ndo siku ya jana jijini Arusha, Mke wake huyu anaitwa Hiday, P-funk majana anawatoto watatu mpaka sasa wakwanza ni mkubwa tu na wapili ni aliyezaa na Kajala Masanja na watatu ni mdogo kabisa ambaye yupo katika picha utazoziona hapo chini
![]() |
Majani akivalishwa Pete ns mkewe Hidaya |
![]() |
Majani akimvalisha pete Bi Hidaya |
![]() |
Hidaya na Mtoto mdogo wa Majani |
0 Comments