
MSANII wa filamu Bongo, Deogratius Shija amefunguka kuwa anatamani sana kumuoa msanii mwenzake, Wastara Juma lakini anaamini kikwazo kitakuwa ni dini.
Akistorisha na paparazzi wetu, Shija alisema tangu kabla msanii huyo hajaolewa na aliyekuwa mumewe, Marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’, alikuwa anampenda lakini bahati haikuwa yake hivyo kwa sasa anatamani ndoa na mwanamke huyo.
Wastara ili kuzungumzia ndoto hiyo ya Shija lakini hakuweza kupatikana mara moja.
0 Comments