Advertisement

Responsive Advertisement

WAJUE WAREMBO HAWA WALIOOWAHI KUKIRI KUTOKA NA ALIKIBA!!!!

Ali kiba ni mmoja wa wanamuziki walio kimya sana kwenye upande wa kuongelea mambo yake binafsi, haswa kimahusiano, au hata kujitangaza kumiliki kitu kingine chochote cha thamani kama ilivyo desturi ya wasanii wengi hapa town baada tu ya kupata umaarufu, ila siri hufichuka haswa pale kwa warembo hawa wanapoamua kumwaga mpunga ndipo hapo unapoanza kujua yaliyo chini ya kapeti.
Hawa ni warembo waliowahi kukiri kuwa walishawahi kuwa na mahusiano na Celeb huyu mkongwe sana kwenye anga za muziki huu wa Bongo Fleva.

collagbhve
                     
Jackline Wolper a.k.a Wolper Gambe na pozi matata
 
Mapenzi ya hawa wawili inasemekana yalianza enzi hizo ambapo wawili hao walikuwa bado hawana majina kabisa hapa town, kila mmoja wao akiwa yupo kwenye hustle zakutoka kila mmoja akiwa natetea fani yake, ila kwa bahati nzuri AliKiba akaanza kupata umaarufu kuitia muziki hata kabla ya Wolper kuanza ku-make headlines kupitia filamu, akiwa kama muigizaji.

“Ni kitambo kidogo sana wote hatukuwa star lakini mwenzangu alifanikiwa kuchomoka,lakini Ali ndiye aliyeniingiza kwenye ulimwengu wa Mapenzi” alifunguka Wolper,
“Ali akawa star,alipokwenda nje nikasikia wanawake wanamshobokea,sasa mimi sikutaka karaha nikakaa pembeni,lakini jamaa ni mtu poa sana na tukikutana tuanasalimiana freshi kabisa” alimalizia akizungumzia sababu zilizomfanya aachane na Kiba wakati huo.

cohllage
 
                Elizaberth Michael ( Lulu)
haikujulikana mapema kama inavyotokea kwa watu maarufu wengi hapa town, ila mahusiano yao yalianza huko kitabo sana, baina ya Lulu na Ali Kiba, ila mwisho wa siku Lulu aliamua kumwaga mpunga hadharani kufunguka juu ya mahusiano yao.

“Duh! Umenikumbusha mbali sana. Nilishasahau kabisa kama niliwahi kutoka naye. Pamoja na kwamba ni kweli alikuwa mtu wangu, lakini kwa sasa moyo wangu hautaki kusikia kingine zaidi ya Bieber na namuonea wivu sana Selena Gomez (mpenzi wa Bieber).”

ila hakutaka kuzungumzia sababu za kuachana naye, nakusea ilikuwa tu sababu zake binafsi kwa sababu mapenzi yana taba moja kuwa ukiyag’ngania hasa pale ambapo hauenjoy mwisho wake ni kuumizana tu, alimalizia lulu kuelezea safari yake ya mapenzi, na hadi hivi sasa anakiri kuwa bado yupo 

BAADA YA KUSHINDA TUZO ZA IJUMAA SEXIEST GIRL, HIKI NDICHO ALICHOANDIKA WEMA SEPETU KWA WANAOPONDA

2
Hata masaa 24 hayajapita tangu akabidhiwe tuzo yake ya sexiest girl tayari inaonekana ameshakutana na negative comments baada ya kushinda hiyo tuzo.
Kwenye mashindano hayo alikuwa na warembo wenzake Jokate,Lulu,Nelly Kamwelu,Jackline Wolper hatimaye alifanikiwa kushinda tuzo hiyo.
Wema ametumia ukurasa wake wa instagram kutoa yaliyo moyoni mwake na ameandika,
If u got it flaunt it….. Ndo nshashinda…. kama hujapenda kasage chupa kunywa…. maana naona sasa its too much khaaaaaaaa.!
Ebu mnitue mie mtoto wa watu… And again much love to y’all dat support me… nawapenda sana…. nimemaliza…. Award yangu ndo hiiiiiiiiooooooooo…… next year tusubiri mwingine.
Nalala zangu…. tukutane kesho…. najua wengi mnanipenda ni wachache wenye vijiba vyao vya roho…. Wema atabaki kuwa Wema tu… Bhaaaaas.
3

1
- See more at: http://www.farajimfinanga.com/2014/04/baada-ya-kushinda-tuzo-za-ijumaa.html#sthash.8lAeyQl9.dpuf

Post a Comment

0 Comments