Zikiwa
siku chache zimepita tangu kesi ya Emmanuel Mbasha ambaye ni mume wa
mwimbaji wa nyimbo za injili Flora Mbasha ianzwe kusikilizwa kwenye
mahakama ya wilaya ya Ilala Dar es salaam ,baadhi ya wadau wametoa ya
moyoni juu ya kesi hii.
Miongoni mwa watu walioguswa na kutoa ya moyoni ni muongozaji wa filamu mbalimbali Tanzania Wiliam Mtitu ambaye katika ukurasa wake wa Instagram alipost picha ya Flora Mbasha akiwa na Mumewe Emanuel Mbasha kisha kuandika maneno haya chini ya picha hiyo.
Miongoni mwa watu walioguswa na kutoa ya moyoni ni muongozaji wa filamu mbalimbali Tanzania Wiliam Mtitu ambaye katika ukurasa wake wa Instagram alipost picha ya Flora Mbasha akiwa na Mumewe Emanuel Mbasha kisha kuandika maneno haya chini ya picha hiyo.
“Ukiiangalia vizuli hii picha utagundua kitu katika macho ya frola mbasha kuna kitu nakiona kinejificha lakini sasa hivi kimeshajitokeza tayali…..hicho kitu ndicho kilichompeleka jera mbasha na asipokuwa makini anaweza asiwe uraiani tena kama ulivyowatokea familia ya nguza .namaanisha mzee nguza na papii kocha wako wapi? Kiukweli frola una roho mbaya ya mwisho kabisa ilichanganyika na ukatili wa mwisho kabisa kiasi kwamba nashindwa kuelewa umeokoka nn ww ?
“Eti
umemrudia YESU ?YESU yupi huyu nnaemwabudu mm au una YESU wako ww na
HUYO GWAJIMA wako? Leo umemsahau Mbasha ww ? Wakati alikuokata umechakaa
wakati mbasha dereva teksi leo wataka kumfunga ili iwe nn sasa mbasha
akifungwa utapata faida gani ww?
“Huyo
mtoto akija kukuuliza baba yuko wapi utamwambiaje? Fine unaweza
kujikaza ukamwambia yuko jera je akikuuliza nani alimshitaki utajibu nn ?
Pia waweza kujikaza ukawataja hao wasichana mliowapandikiza je akiuliza
ww ulifanya jitihada gani baba asifungwe utasemaje?
“Hapo
auna jibu Acha roho mbaya NENDA KAMTOE MARA MOJA NA MWENDE NYUMBANI
MKAONGEE KAMA FAMILIA TWAJUA UWEZO HUO UNAO ILI NA YEYE ATAFUTE HAMSINI
ZAKE KAMA WW ULIVYOAMUA KUJISALIMISHA KWA GWAJIMA. USIJE UKASHANGAA WATU
WAKASUSIA KAZI ZAKO ZOTE. GDAY.”


0 Comments