1. Atakutega kupata attention yako. Hufanya mambo ambayo yatamfanya
kuona kama unampenda au lah! Mf wa mambo hayo ni kujifanya anaumwa na
kuangalia respond yako kwake ni kiasi gani unamjali na kiasi gani
utahangaika kwa ajili yake au
2. Haoni aibu kugusa sehemu yako
ya mwili. Msichana anayependa haoni aibu kukushika mkono ama kukutomosa
au hata kukumbatia. Kwa kufanya hivyo hujua kuwa kwa asilimia kubwa
hisia za kushikana kwenu kutamrahisishia kazi ya kuwa na wewe
3. Kucheka kwa nguvu hata kwa kitu
kisicho chekesha endapo wewe umezungumza. Mara nyingi ataonesha uso wa
furaha hata kama si furaha ya kweli
4. Wivu.
Hujisikia wivu anapokuona na wasichana wengine. Ukiwa unachart nao na ukiwaita majina ya kimahaba. Hapendi.
5. anakumbuka siku zako muhimu. Hukumbuka kama vile siku yako ya
kuzaliwa hatowez kuisahau kufanya ipite bila kukutakia heri ya siku ya
kuzaliwa kama sivyo ukifaulu mtihani au chochote katika maisha yako
atakuwa mbele kukupongeza
6. Eye contact anapenda
kukuangalia machoni muda wote ambao mtakuwa mkizungumza pamoja akidhani
kuwa utaelewa ni kiais gani anakupenda kupitia vile ambavyo
anakuangalia.
Ila wengine huona aibu kuwatazama wavulana wanaowapenda si wote wana ujasiri wa kuwatazama wapenzi wao.
7. Hupenda kukaa mmuda mwingi na
wewe. Hawezi kupoteza hata sekunde ukimuhitaji kwa mazungumzo.
Anajisikia furaha kukaa na wewe muda mrefu bila kuchoka. Anaweza akaacha
kila kitu anachokifanya ili ajumuike na wewe.
8. Yupo tayari kuangamiza. Kama
msichana anakupenda yupo tayari kusacrifice. Ni kitu ambacho hakuna mtu
ambaye anaweza akafanya kwa mtu mwingine. Utaona vipi huyo msichana
alivyo kwako na wa wengine. Yaani yupo tayari yeye akose lakini wewe
upate na kwa mwingine anaweza akamwamba hana alichoombwa lakini akakupa
wewe kama pesa na vitu vingine.
9. Anachukulia matatizo yako kama ni yake. Unapomueleza kuwa ana tatizo
anajali tatizo lako kama vile ni lake na hujisikia vibaya sana na
kuhuzunika na atafanya lolote ili aweze kukusaidia utoke katika hilo
tatizo.
10. Mikwaruzano ikitokea katika
urafiki wenu hayupo tayari kukupoteza kabla hajakuambia anakupenda. Kwa
kuwa anakupenda endapo ikatokea mikwaruzano basi atafanya juu chini
kuyaweka mambo sawa ili asikukose

0 Comments