Hii kitu imenitokea sana mara nyingi.
Napenda kudate na wanaume maarufu tu na pindi nikiwa ktk mahusiano na
mwanaume maarufu najickia nipo salama sana hata kama hanisaidii chchte
nainjoy mbaya kuliko nikiwa na mtu aso na jina hapa town.
Tatz nikiwa na mtu hata kama ananijali na anasifa zote lkn hana jina nakuwa mnyonge simfurahii
Nawezaje kuondokana na hili tatizo.

0 Comments