muna akiwa kwenye pozi tata
Msanii
wa filamu nchini Hemedy aka PHD mwenye mikogo kuzidi mabilioni ya Dr
dre amesema baada ya kuchafua sana sasa anataka kutulia na kuoa
kabisa.
Hemedy alisema hayo alipokuwa akiongea na paparazi, Phd alisema
kuwa "Nimechafua sana more than sana nikaona hii bora iishe maana mama
yangu anataka vitu ving kutoka kwangu so nimepata msichana ninaye mpenda
na yeye ananipenda so natarajia kufunga ndoa mwezi november
huyu ndiyo mchumba wa Hemedy anaitwa Muna aka MomoHemedy akiwa na mchumba wake Muna


0 Comments