Kama mnavyojua tena mashosti hawa hapo awali walikuwa katika BIFU la
kuchukuliana bwana ambae ni Diamond....
Hii ilitokea baada ya Wema
kumshutumu Jokate kutembea na mpenzi wake Diamond (Kabla Wema hajapigwa
chini na Diamond)....
Katika hali isiyotegemewa wawili hawa kumbe hawana
tena kinyongo..na wapo SAWA.....Hehehhee...Hii imejidihilisha wazi hapo
jana baaba ya Wema Ku-comment kwenye picha ya Jokate huko
INSTAGRAM...Soma comment hiyo hapo juu..then utajuani nini hasa
namaanisha..


0 Comments