 |
Warembo
wakiwa katika pozi,miongoni mwa washiriki katika shindano hilo ni Aisha
Ally kutoka Shinyanga Center,Pendo Maxmilian-Shinyanga Center,Jackline
Mtaremo-Shinyanga vijijini,Laurencia Mathew-Kahama,Neema
Kakimpa-Kahama,Grace Kimaro-Shinyanga Center,Nyangi Warioba-Msalala,
Nilamu Abdul-Kishapu,Jackline Jackson-Msalala,Khadija
Nyanda-Ushetu,Nicole Sarakikya-Kishapu,Irene Ahmed-Kishapu,Jackline
Kimambo-Ushetu,Rose Kibually-Kahama,Rocky Bangili-Kahama,Joyce
Ringo-Shinyanga vijijini,Mary Emmanuel-Ushetu,Rukia Samir-Kishapu,Rachel
Mushi-Shinyanga vijijini na Sophia Joseph kutoka Msalala.
 Akizungumza na waandishi wa habari leo mwandaaji wa mashindano ya Miss Shinyanga mwaka 2014 Asela Magaka(Pichani)
kutoka Asela Promotions amesema washiriki wa kinyang'anyiro hicho cha
kusaka mrembo wa mkoa ni 20,na kwamba kabla ya Shindano hilo Juni
28,2014,kutafanyika shindano la kutafuta mrembo mwenye Kipaji mkoa wa
Shinyanga(Miss Talent Shinyanga) ambayo yatafanyika Juni 25,2014
katika Ukumbi wa NSSF mjini Shinyanga .Warembo hawa 20 watashiriki katika Shindano hili pia ili kujua
vipaji mbalimbali walivyonanvyo mbali na urembo wao. |
Asela
Magaka amesema kuwa baada ya Miss Talent mkoa wa Shinyanga,shindano la
kumpata mrembo wa mkoa wa Shinyanga(MISS SHINYANGA 2014) litafanyika
tarehe 28,mwezi huu wa Sita katika ukumbi wa NSSF mjini Kahama ambapo
mzee Yusuph,msanii Amani kutoka Kenya na Mo Music watatoa burudani
 |
Warembo
wakiwa katika pozi kwenye hoteli ya Diamond Fields mjini Shinyanga
ikiwa ni katika maandalizi ya shindano la kumpata mrembo wa mkoa wa
Shinyanga mwaka 2014.Matron wao ni Asha Saidi
Washiriki
wa shindano la Miss Shinyanga mwaka 2014 wakiwa katika picha ya pamoja
nje ya Diamond Fields Hotel mjini Shinyanga leo wakijiandaa kwa ajili ya
shindano hilo Tarehe 28 mwezi huu katika ukumbi wa NSSF mjini Kahama
ambapo Msanii wa nyimbo za Taarabu nchini MZEE YUSUPH,msanii Aman kutoka
Kenya na Mo Music watatoa burudani babu kubwaa siku hiyo mjini Kahama
Washiriki
Miss Shinyanga 2014 wakiwa katika pozi nje ya Hotel ya Diamond Fields
mjini Shinyanga mapema leo ambao wote wapo hapo baada ya kuruhusiwa na
wazazi wao kushiriki mashindano hayo
Ukiangalia
kila mmoja anapendeza kweli kweli na hakuna anayejua nani atabeba taji
mwaka huu,ila kitendawili kitateguliwa Juni 28,mwaka huu,na hakika mmoja
kati ya 20 pichani ataibuka mshindi
Hawa
ni warembo/washiriki wanaowakilisha Kahama wanaowakilisha Kishapu
katika shindano la Miss Shinyanga 2014 lililoandaliwa na Asela
Promotions ambao wamekuwa wakiandaa mashindano hayo tangu mwaka 1999
Warembo
wanaowakilisha Kishapu katika shindano la Miss Shinyanga 2014
lililoandaliwa na Asela Promotions ambao wamekuwa wakiandaa mashindano
hayo tangu mwaka 1999
Warembo
wanaowakilisha Shinyanga vijijini katika mashindano ya Miss Shinyanga
mwaka 2014 yatakayofanyika Juni 28,2014 mjini Kahama
Washiriki/warembo wanaowakilisha halmashauri ya wilaya ya Ushetu katika mashindano ya Miss Shinyanga mwaka 2014
Washiriki wanaowakilisha Shinyanga Senta katika mashindano ya Miss Shinyanga mwaka 2014
Washiriki wanaowakilisha halmashauri ya wilaya ya Msalala
Warembo 20 wakipiga saluti nje ya Hoteli ya Diamond Fields mjini Shinyanga leo
Washiriki wa miss Shinyanga na Miss Talent mkoa wa Shinyanga wakifanya yao leo mjini Shinyanga
Ni pozi tuuuu
Washiriki wa shindano la Miss Talent na Miss Shinyanga 2014 wakiwa katika pozi
|

Washiriki wa Miss talent na Miss Shinyanga wakitembea kwa madaha nje ya Hotel ya Diamond Fields mjini Shinyanga leo
Duh!! wanatembea kwa pozi haoooo
Ni Maandalizi tu......ishu nzima Juni 28,2014
Asikwambie mtu ni vigumu kujua nani ataibuka mshindi,jibu utalipata Juni 28,2014
Wacha weee
Haya sasa....
Hatari kweli kweli......
Wanaendelea kufanya mambo yao.....
Picha ya pamoja........
Wamependeza kweli kweli na kila mmoja anastahili kuibuka kidedeaaa.....
Daaah....
Warembo
hawa 20 wanawakilisha Kishapu,Kahama,Ushetu,Shinyanga Senta na
Shinyanga vijijini katika katika Mashindano mawili yaani Miss Tarent
Shinyanga litakalofanyika Juni 25,2014 mjini Shinyanga katika ukumbi wa
NSSF ambapo Isha Mashauzi atapiga show babu Kubwa na Shindano la Miss
Shinyanga litakalofanyika Juni 28,2014 mjini Kahama ambapo mzee wa kazi
Mzee Yusuph akiwa na wasanii kibao atafanya makubwa.Mashindano hayo
yamendaliwa na ASELA PROMOTIONS.
Asela
Promotions wamejizolea umaarufu hapa nchini kwa kazi yao nzuri katika
kuandaa mashindano ya kupata mamiss katika mkoa wa Shinyanga na taifa
kwa ujumla.
Ikumbukwe
kuwa Asela Promotions wameanza kuandaa mashindano ya miss Shinyanga
tangu mwaka 1999 na mwaka jana wamepewa Tuzo ya mwandaaji bora wa
mashindano ya mamiss Tanzania na sasa dhamira yao ni kupata mrembo
atayeshinda kitaifa(atakayeshinda nafasi ya Miss Tanzania kutoka
Shinyanga) baada ya miaka mingi kuishia nafasi hadi ya pili mfano,mwaka
2000 mshindi wa pili miss Tanzania alikuwa Lilian Kusekwa kutoka
Shinyanga,mwaka 2003 nafasi ya 2 alikuwa Dotto Nusu Lupia kutoka
Shinyanga,2005 nafasi ya pili Jenifa John kutoka Shinyanga,2007 nafasi
ya tatu miss Tanzania alikuwa Helga Tarimo kutoka Shinyanga na mwaka
2011 nafasi ya 2 ilichukuliwa na Trace Mabula kutoka Shinyanga ambao
wote waliandaliwa na Asela Promotions
0 Comments