Advertisement

Responsive Advertisement

VIDEO MPYA YA VANESSAMDEE – ‘COME OVER’ HII HAPA


Ni video ya pili kutoka kwa Vanessa Mdee,ambayo ilizinduliwa weekend iliyopita na pia watu waliohudhuria walipata nafasi ya kusikiliza wimbo mmoja wa Vanessa Mdee unaoitwa Hawajui,video hi imefanywa na Director Enos Olik na imetengenezwa nchini Kenya.

BOFYA PLAY KUTAZAMA

Post a Comment

0 Comments