Akiongea
kuhusu wabunge wachama chake kuingia bunge la katiba, kupitia redio one
katibu mkuu wa CHADEMA amesema wote walioenda kwenye bunge la katiba
walishapuuzwa na chama mda mrefu.
Amesema adhabu sio lazima iwe ya wazi hata kupuuzwa ni adhabu pia.
0 Comments