Huyu ni mtangazaji wa muda mrefu sana wa redio inayomilikiwa na Clouds
media Group anayejulikana kwa jina la ABBYPLAAJES,. Kamera yetu ilimnasa
akiwa maeneo yake ya kujidai akiwa katika kavazi ka bikini ambacho
kikweli wabongo tumezoea kuwaona wazungu wakifanya mambo kama haya
hadharani!!
0 Comments