Nimefanya uchunguzi mdogo tu nimegundua kuwa wasanii wengi wa music Tanzania ni wafupi, sijui kwanini? Au kuna uhusiano wowote ule kati ya
ufupi na kipaji? Au ndio ile theory ya kwamba watu
wafupi wanapenda sana
kujionyesha
kwakuwa wanahisi
wanadharaulika?
Wafuatao ni baadhi tu kati ya wale wengi:
1. Barnaba Boy
2. Stamina
0 Comments