Advertisement

Responsive Advertisement

LEO NI KUMBUKUMBU YA MIAKA 15 TANGU KIFO CHA MWALIMU JULIUS NYERERE

WATANZANIA leo tunaadhimisha kumbukumbu ya miaka 15 tangu kufariki kwa muasisi na Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Mwalimu Nyerere alifariki dunia Oktoba 14, 1999 akiwa nchini Uingereza alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na maradhi ya kansa ya damu.
Akizindua rasmi maadhimisho ya kumbukumbu hizo jana, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Kate Kamba alisema kitaifa maadhimisho hayo yatafanyika mkoani Tabora.

Eddy Blog inakutakia maadhimisho mema ya kumkumbuka hayati mwalimu Nyerere ewe mpendwa msomaji wetu

Post a Comment

0 Comments