Advertisement

Responsive Advertisement

PICHA ZA AJALI NYINGINE ILIYOTOKEA JIJINI DAR, UZEMBE WATAJWA KUWA NI CHANZO


https://fbcdn-sphotos-h-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xap1/v/t1.0-9/1900116_623433021101009_3530384001935742171_n.png?oh=fb6af18581b7a7726f941338623949cc&oe=54BB2046&__gda__=1420437519_8b37b89f17fedc26bf6d579b27675c3e
Udereva usiozingatia umakini Barabarani umeendelea kusababisha ajali ambapo katika Barabara ya Bamaga gari tatu kwa wakati mmooja zimepata ajali baada ya gari dogo aina ya pik kapu navara kukosa mwelekeo likiwa mwendo kasi wakati likikata kona na kupasuka tairi moja ya mbele na kugonga Daladala mbili zilizokuwa katika Barabara Hiyo.

Post a Comment

0 Comments