Advertisement

Responsive Advertisement

Labda utapenda kuona jinsi ndege ya abiria ikifanyiwa ukarabati.



Screen Shot 2014-11-23 at 12.30.36 AMWakati mwingine kama raia wa kawaida huwa kuna vitu vinaweza kutupita sababu havipo kwenye kona zetu za kila siku ndio maana millardayo.com inakukusanyia vyote na kukuwekea hapa.
Hivi ndivyo ndege ya shirika la Emirates ilivyofanyiwa ukarabati kwa kuondolewa vitu vyake vya zamani na kuweka vipya, yaani kwa ufupi ilikua ‘gereji’ na wanasema ukarabati huu ni ukarabati wa kiwango kikubwa kufanywa kwenye ndege yoyote.

Post a Comment

0 Comments