
.
Hitmaker wa single ya Wahalade ‘Barnaba Elias’ amefungua ukurasa wa
maisha baada ya kumvisha pete Mama wa Mwanaye Mama Steve .Baadhi ya
mastaa waliohudhuria kwenye party hiyo akiwemo Kajala,Navy Kenzo,Vanessa
Mdee na wengineo Club 327 Dar es Salaam.

.

.

.

.

.
0 Comments