Ni muunganiko wa wakali wawili Madee na Chege
ambao baada ya mashabiki wa muziki kuwasikia kwenye audio moja
iliyotayarishwa na Dj Maphorisa kutokea Afrika Kusini, sasa time hii pia
wametusogezea video ya single hiyo imefanywa na director Adam Juma.
Ukishaitazama usiache kutoa yako ya moyoni ili Madee, Chege, Adam Juma wakipita hapa wasome kutoka kwa watu wao wa nguvu..
0 Comments