![]() |
T.I.D akiwa na mwanamke ambaye siye anayetajwa |
Kwa mujibu wa taarifa zilizoifikia Dunia Kiganja Blog hii hivi punde ni
kwamba mwanamuziki wa kizazi kipya T.I.D Mnyama yuko mikononi mwa polisi baada ya
kutokea ugomvi baina yake na Mpenzi wake ambaye jina lake halikufahamika mara
moja.
T.I.D kwa sasa anachukuliwa maelezo
katika kituo cha polisi Ostyabey jijini Dar es Salaam baada ya kulala kituoni
hapo baada ya kutokea mtafaruku huo.
Taarifa na Chanzo chetu Dar es Salaam
0 Comments