
Tarehe 24 mwezi kama huu, wasanii mbali mbali wametokea kumtakia maisha
marefu na wengine kumpongeza kwa njia mbali mbali, ila kwa hii ya
Diamond Platnum ni kali kuliko yote, Diamond ameamua kushusha ya kwake
yamoyoni kupitia account yake ya instagram, katika kukubali juhudi zake,
kama msanii mkongwe na kumshukuru kwa yote.

Mungu akupe maisha maref yenye amani na mafanikia tele… Eta Tudele!” alimalizia Diamond Platnumz
0 Comments