Ommy
Dimpoz a.k.a Poz kwa poz ameamua kuwaonjesha kionjo cha wimbo wake mpya
unaokuja ambao video yake imefanywa nchini Marekani Na producer mkali
nchini humo.
Kupiti Account yake ya Instagram Ommy dimpoz aliweka kionjo
cha Video hii na kusema ndio cha wimbo huo unaosubiriwa na Wapenzi wa
Muziki wa Bongo fleva Kwa Hamu Kubwa.
0 Comments