Advertisement

Responsive Advertisement

AJALI YA MALORI MATATU KUGONGANA DARAJA LA MTO NDURUMA MKOANI ARUSHA YASABABISHA FOLENI KUBWA YA MAGARI

Ajali mbaya za malori 3 ya mizigo Arusha imesababisha barabara kufungwa na hakuna uwezekano wa kuyatoa hayo magari mapema.

Inasemekana truck moja ilifeli brake na ndipo ilipojaribu kulipia Lori jingine na kujikuta likigongana uso kwa uso na Lori aina ya fuso lililobeba machungwa kuelekea Nairobi.
Hali ni tete na wasafiri wamekwama kwani hakuna gari linaloweza kupita hapo darajani kwa sasa.

Post a Comment

0 Comments