Siku moja baada ya Forbes kutoa jarida la Afrika yaani FORBES AFRICA...
lenye picha ya Mzee Regnald Mengi kwenye ukurasa wa mbele....Mwanamama
Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-Lyinn amejitokeza na kumpongeza mzazi
mwenzie (Mzee Reginald Mengi) kwa hapo alipofikia na anatamani watoko
wake wengekuwa wakunbwa wajionee hii....
Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM K-Lyinn aliweka pichi hiyo juu na
kuandika hivi" “Congratulations my love, you always make me so proud. I
wish Jay and Ry were old enough to understand this now.”
Mzee Mengi tajiri #34 Afrika mwenye utajiri wa dola za kimarekani 550 kwa mujibuwa Forbes 2013.
0 Comments