Kujichua
a.k.a kujichezea a.k.a “a little help from ur hand” (kupiga puri au
punyeto sounds manly) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake tufanya
hivyo ila wengi wetu huwa hatuko “comfortable” kulizungumzia au kukili
kuwa tukizidiwa huwa tunajisaidia…….
wakati
mwingine mtu unashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili
ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani
mapaka upige moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana
lakini sasa mpenzi hayupo karibu.
Kujichua
au kujichezea ni njia pekee ya kujifunza kufika kileleni, kuujua na
kuuelewa mwili wako na kujua utamu wa ngono ukoje(incase hujui utamu huo
ukoje).
Kwa
kujichua utajua jinsi kutoa na kupokea raha ya kufanya mapenzi na
mpenzi wako, utasaidia ngozi yako kuwa nzuri na laini (mambo ya Urembo
hayo) na vilevile utajua jinsi ya kuzuia (kuchelewa kwa makusudi kufikia
mshindo) au kumsubiri mwenzio ili mfike pamoja, hakuna raha ya kufanya
mapenzi kama kufika kwa wakati mmoja.
Faida za kujichua/chezea:-
1)Kuujua mwili wako na kujiamini zaidi linapokuja swala la kungonoka(fanya mapenzi)
2)Kuongezeka kwa hamu ya kufanyamapenzi kwa vile utakuwa unajua utamu wake.
3)Kujua “vipele vyako viliko”.
4)Kutokuusaulisha mwili wako ikiwa uko nje ya uhusiano au umeamua kuwa single kwa muda.
5)Kuepuka mimba na maambukizo ya virusi vya UKIMWI na magonjwa mengine.
*Kama kuna faida nyingine unaijua basi si mbaya kama utachangia hapa.
Madhara ya kujichua/chezea:-
1)Sijawahi kushuhudia wala kusikia tatizo lolote kutokana na kujichaua kiasili.
2)Kujichua
kwa kutumia sanamu a.k.a Dildos ni kusamburuka kwa nyama za nyeti
zako(inategemea na aina ya sanamu), kupoteza hisia za uume halisi
kutokana na kuzoea “dubwana” hizo, kifo kutokana na “shock” ikiwa
unatumia ya umeme, vilevile saratani ikiwa unatumia vilainishio ili
kurahisisha “dubwana a.k.a toy a.k.a Dildo” kuingia.
Ikiwa kuna madhara mengine unayajua kuhusiana basi ni vema ukachangia hapa

0 Comments