Msanii wa muziki wa Bongo fleva Dayna aliye-make headlines na kuzidi
ku-hit kwenye tasnia hii ya muziki wa Bongo fleva, hatimaye afunguka
kuhusu picha zilizokuwa zinaleta utata kwenye mitandao na Blogs
mbalimbali nchini, huku ikibua maswali mengi kuwa wawili hao ni wapenzi
au la.
0 Comments