WALIOSEMA
ujana ni maji ya moto hawakukosea. Mkali wao kwenye Bongo Fleva, Nasibu
Abdul ‘Diamond’ ni msanii ambaye ana idadi kubwa ya msururu wa wanawake
ambao ametoka nao kimapenzi ambapo, wapo wanaojulikana na wengine
hawajulikani.
Nasibu Abdul ‘Diamond’.
Leo katika makala haya tunakuletea wanawake ambao kwa nyakati tofauti walibanjuka kimapenzi na Diamond ambao kimsingi kutokana na idadi yake, anadhihirisha jina lake la Sukari ya Warembo.
Takwimu zinaonesha kuwa karibu kila mwaka jamaa anabadilisha wapenzi ambapo wanawake wamekuwa wakipokezana vijiti.

UPENDO MUSHI ‘PENDO’
Huyu ni msanii wa filamu ambaye alitokea katika Shindano la Maisha Plus. Aliwahi kukiri kwamba alishatoka kimapenzi na Diamond kabla hajawa maarufu kama alivyo sasa, hawakudumu muda mrefu.
Ni
mlimbwende wa Tanzania na msanii wa filamu kwa sasa. Diamond baada ya
kupata umaarufu kidogo, alikutana na Wema na kuanzisha uhusiano wa
kimapenzi jambo lililofanya umaarufu wake kuzidi mara dufu.
Wema na Diamond waliachana na kila mmoja akawa anaendelea na maisha yake lakini mwaka jana wawili hao walirudiana na mpaka sasa wapo pamoja.
PENNIEL MUNGILWA ‘PENNY’ Wema na Diamond waliachana na kila mmoja akawa anaendelea na maisha yake lakini mwaka jana wawili hao walirudiana na mpaka sasa wapo pamoja.
Kwa
muda huo ambao Diamond aliachana na Wema, ulikuwa ni mwanya wa
Mtangazaji wa Runinga ya DTV, Penniel Mungilwa kumiliki penzi la Mbongo
Fleva huyo.
Alikuwa ni rafiki wa karibu na Wema, akampindua kwa Diamond. Mapenzi yao yalidumu kwa muda mfupi kabla ya mkali huyo kurudisha majeshi kwa Wema kwa mara nyingine.
ANGEL MAGGY
Alikuwa ni rafiki wa karibu na Wema, akampindua kwa Diamond. Mapenzi yao yalidumu kwa muda mfupi kabla ya mkali huyo kurudisha majeshi kwa Wema kwa mara nyingine.
ANGEL MAGGY
Diamond wakati akiwa na Wema kabla hawajaachana iliripotiwa kwamba alikuwa akisaliti penzi lao ambapo alitoka kimapenzi na msichana Angel ambaye ni Mkenya lakini hawakukaa muda mrefu, wakamwagana.
Ni mwanamitindo maarufu Tanzania. Penzi lao lilikuwa la muda mfupi na la siri kwani hawakujiachia kama ilivyokuwa kwa Penny na Wema
Huyu
naye alikuwa ni rafiki wa Wema lakini alitoka naye kimapenzi ambapo
baada ya kuachana, Diamond alimuomba msamaha na kusema alimkosea sana
kwani ni mwanamke ambaye alimpenda lakini alimpotezea baada ya kumpata
Wema.
JACQUELINE WOLPER
Ni
msanii wa filamu Bongo. Wolper na Diamond walitoka kimapenzi lakini
waliachana katika mazingira ya kutatanisha jambo lililomfanya Diamond
amtungie wimbo kutokana na jinsi alivyoumia.
NAIMA
Huyu alikuwa ni rafiki wa karibu sana wa Wema lakini alitoka kimapenzi na Diamond hali iliyosababisha wanawake hawa kuwa na bifu kwa sababu ya kushea mwanaume huyo mmoja.
Huyu
ni mrembo aliyeshikilia Taji la Miss Kiswahili ambapo naye aliingia
kwenye listi ya kutoka kimapenzi na Diamond. Uhusiano wa wawili hawa
haukuwa wa muda mrefu ilikuwa ni kama kupita tu.
NATASHA
Ni mwanadada aliyeshiriki kwenye moja ya video za Diamond. Baada ya hapo habari zilienea kwamba Diamond amempitia ambapo nao hawakukaa muda mrefu.
NATASHA
Ni mwanadada aliyeshiriki kwenye moja ya video za Diamond. Baada ya hapo habari zilienea kwamba Diamond amempitia ambapo nao hawakukaa muda mrefu.
Baada ya sarakasi zote za wapenzi, sasa Diamond ametulia kwa Beautiful Onyinye, Wema Sepetu! Tutegemee nini? Yetu macho.

0 Comments