Mapenzi ni kitu Kingine Jamani Acheni tu, Unaweza kumuona leo
hafai ile kesho ukamlilia yule yule uliesema hafai..
Kama mnakumbuka
wakati Bob Junior anaachana na mke wake aliongea mengi tu ikiwemo
ameamua kila mtu achukua zake kwa vile Mwanamke anawivu sana na
kumfutilia kila mahali…
.ila sasa Bob Junior anajutia Kitendo hicho na
kusema amemmisi sana na yupo mpweke na amekiri kuwa yule mwanamke ndio
aliyemfundisha mapenzi, leo hii anakula vibandani….Mzee mzima mpaka
ameamua kumtungia wimbo akimlilia basi ujue kiukweli anataka
warudiane…..
Tujifunze kwa hili Raha za muda Mfupi zisikufanye uisahau familia
na kuona haina thamani….Wakati ndoa ya Bob inavunjika alijitokeza dada
Mmoja (Toto Ashley) na Kudai Anatoka nae Haya Leo yupo Wapi….(Tusamini
Familia Zetu)

0 Comments