Unaweza kudhani labda ni simulizi za kusisimua ambazo pengine huwa
nyingi zinaishia kuandikwa tu kwenye majarida na makala mbalimbali
lakini hii ni tofauti mtu wangu,unaambiwa huyu jamaa alifariki na ndugu
zake wakaenda kuuchukua mwili wake kisha kuuzika kwa heshima zote.
Sasa inshu imekuja jamaa amerudi na tatizo limekua hakuna anayemuamini
hadi mke wake kamkimbia na kaburi lake lipo kinachoshangaza ni mpaka
hitma wameshakamilisha

0 Comments