Advertisement

Responsive Advertisement

UKAMILIFU WA STORI YA DADA WA KANGA MOKO KUPIGWA RISASI HUU HAPA


Ni taarifa iliyotoka jioni ya June 17 ambayo ilimhusisha mmoja kati ya kina dada wanaounda kundi la Kanga Moko kupigwa risasi na polisi wakiwa kwenye sherehe,ameongea dada aliyepigwa risasi na pia ipo kauli ya Jeshi la Polisi Tanzania kuhusu suala hili.

Post a Comment

0 Comments