| Mchungaji akiwafungisha Ndoa hiyo ambae pia ana kipawa cha Uchekeshaji na MC aitwaye Mc Pilipili. |
Lulu
akiwa katika vazi la Harusi kabla hajafunga ndoa hiyo.Ndoa hiyo
itarushwa JUMAMOSI Saa Nne usiku katika Kituo cha Runinga cha ITV na Marudio
yake itakuwa ni Jumapili saa 10 Jioni na Jumatano saa 5 usiku.
Najua ungependa kujua Ndoa hiyo ya Lulu na kuona jinsi ilivyokuwa usikose katika Runinga ya ITV. Picha Zote na Josephat Lukaza

0 Comments