Magari
mawili aina ya Coaster yanayosafririsha abiria kati ya Mwenge, Tegeta
na Mbezi jiijini Dar, yamegongana na na kuua abiria wanaokadiriwa
kufikia zaidi ya 10.
Ajali hiyo imetokea mchana huu eneo la
Makongo. Mashahuda wa ajali hiyo wamesema kuwa uzembe uliofanywa na
dereva wa daladala iliyokuwa ikitoka Tegeta ndio uliosababisha ajali
hiyo kwani alipita upande usio wake.
0 Comments