
Baada ya kusambaa kwa picha hizo millardayo.com ilimtuma mwakilishi wake kutoka Arusha kwa ajili ya kwenda kupata uhakika wa taarifa hizi ambazo amesema kuwa si za kweli na hata uongozi na wafanyakazi wa hotel hiyo wameshangazwa na picha hiyo.
Jeshi la Polisi linafanya uchunguzi wa kujua haswa picha hiyo ilipoanzia kusambaa ili kuweza kuwatambua walioanza kuzisambaza picha hizo.

millady.com
0 Comments