
Kupita
Instagram mrembo huyo mwenye umbo ‘matata’ alianza kwa kupost picha ya
pasi ya kusafiria ya Afrika Kusini kama ishara kwamba amepata uraia mpya
wa nchi hiyo.
Kuthibitisha
kile ambacho kila mmoja alifikiria (kuwa amebadili uraia) Masogange
baada ya muda mfupi aliandika kuhusu kubadili na jina pia. “My new name is thando not Agnes any more”
Hivi karibuni Mwandishi alikutana uso kwa uso na Agness
Thando jijini Durban, Afrika Kusini kwenye tuzo za MTV MAMA 2014, na
katika mahojiano alisema kuwa kwa sasa amehamia kabisa Afrika Kusini na
makazi yake yako jijini Johannesburg.
Kutokana na sheria za Tanzania ambazo haziruhusu uraia wa nchi mbili, hii inamaanisha Thando si mbongo tena….
0 Comments