Baada
ya ku-make headline na cover kali la wimbo wa Anaconda na kuteka
attention ya watu wakisubili kununua. Wimbo huo ukavuja kwenye internet
na watu kuupata bure na kabla ya muda uliopangwa.Hivi sasa Nicki Minaj anakaribia kutoa video ya Anaconda lakini leo ametupa kionjo cha video hiyo.
0 Comments