Baada ya wasanii kuwasili ndani ya wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga
siku ya jana, leo hii wamepata nafasi ya kufanya mahojiano na redio ya
Kahama inayoitwa Kahama Fm.
Baada tu ya kusalimiana na watangazaji wa Redio hiyo , Ally Tizee na Dj
Rammi, watangazaji hao wakiwapisha Fetty na Bdozen na kuwaacha
wakiendelea na interview hiyo ambayo walipiga story na wasanii wote
wanaofanya show siku ya leo usiku..
0 Comments