Watu
22 wamepandishwa kizimbani katika mahakama ya jiji la Dar es salaam kwa
makosa mawili tofauti,likiwemo la kufanya biashara ya kuuza miili yao.
Akisoma
shtaka hilo mwedesha mashtaka Ramadhan Kalinga alisema watuhumiwa hao
walikamatwa maeneo ya Ubungo na kwamba walikuwa wakiuza miili yao huku
wakijua kufanya hivyo ni kosa kisheria.
Washtakiwa walikana na kurudishwa RUMANDE kutimiza masharti ya dhamana na shauri lao litaendelea tena Januari 13 mwaka huu.
0 Comments