SISTA wa Parokia ya Makoka iliyopo Kibangu, Dar ameuawa na
majambazi yaliyokuwa kwenye bodoboda wakati akiingia kwenye gari
akitokea dukani eneo la River Side, Ubungo jijini Dar es Salaam hivi
Leo.
Kabla ya kuuawa sista huyo, dereva wake alipigwa risasi mkononi na majambazi hay0


0 Comments