Msanii
wa filamu za vichekesho, Kitale, ambae kwa sasa anatambulika zaidi kwa
jina la ‘Mkude Simba’ amekanusha kuwa hajawai kuwa na mahusiano ya
kimapenzi na Vj Penny ambae aliwai kuwa mpenzi wa zamani wa Diamond.
Kitale
akizungumza Global TV hivi karibuni ,amekanusha uvumi huo, ambao
uliambatana na picha zinazo muonyesha Penny akimbusu Kitale.
“Penny
mimi sina mahusiano nae yoyote, siyo kweli sina mahusiano nae , mimi
nina ndoa yangu na nina mke wangu na nina mtoto, naiheshimu ndoa yangu”Alisema Kitale.
0 Comments