Advertisement

Responsive Advertisement

MAJONZI: MSANII WA NYIMBO ZA INJILI AFARIKI DUNIA HOSPITALI YA MUHIMBILI

Taarifa zilizotufikia katika Chumba cha Habari muda huu zinasema kwamba , Muimbaji wa Nyimbo za Injili Deborah John Said Amefariki Dunia katika Hospitali ya Muhimbili. Endelea kufuatilia hapa kwa taarifa zaidi. Tunatoa pole kwa wote waliopatwa na Msiba huu Mkubwa.
Amen

Post a Comment

0 Comments