
Diwani
Sebastiani amewaambia wanahabari kuwa mwakajana walifanya vitendo
haramu wakishirikiana na CCM na baadhi ya waliokua wanachadema
wakiongozwa na Mchange.
Wanasema
wamekuja kuomba toba kwa viongozi wa juu wa CHADEMA na wanachama ili
wasamehewe kwa usaliti huu mkuu Wanasema baada ya Zitto kuvuliwa
madaraka ndani ya Chadema ,Mchange alipewa Dili na CCM la kuwarubuni
madiwani na viongozi ndani ya CHADEMA ili watoe matamko na kuonyesha
kuwa Chama kina mpasuko Anasema January 2014 Mchange alimpigia simu kuwa
Naibu waziri wa Nishati na Madini Steven Masele ana dili la shilingi
milioni 180.
ANGALIA VIDEO HAPA CHINI:
0 Comments