Lori
lililokuwa limebeba mapipa ya lami likiteketea kwa moto baada ya
kulipuka mapema leo asubuhi maeneo ya Mikumi mkoani Morogoro. Chanzo cha
mlipuko huo bado hakijafahamika.
Lori
lilokuwa limebeba shehena ya Mapipa ya Lami likiteketea kwa moto eneo
la Mikumi Mkoani Morogoro Barabara kuu ya Morogoro Iringa

0 Comments