TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' imeondolewa kwenye
michuano ya Kombe la Chalenji inayoendelea nchini Kenya baada ya
kufungwa na timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars' bao 1-0 katika mechi
iliyomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Nyayo uliopo jijini Nairobi!
Bao la Harambee Stars limefungwa na Miheso dakika ya 5.
0 Comments