Bunge la nchi hiyo limeupitisha muswada unahalalisha bangi kwa kura 16 kwa 13 jana jioni.
Chini ya sheria hiyo mpya, bei ya gram moja ya bangi itakuwa ni dola 1 tofauti $1.40 kwenye soko haramu.
Uuzaji
na utengenezaji wa bangi utaratibiwa na mamlaka itakayowekwa na
serikali itakayoangalia database ya wananchi wenye umri unaoruhusiwa
kutumia bangi.
0 Comments