Advertisement

Responsive Advertisement

AFYA YA DK. CHENI YAENDELEA KUIMARIKA

Mama Lulu akizungumza na Dk. Cheni huku akila chakula alichompelekea.
BAADA ya kukumbwa na gonjwa hatari la Dengu linaloenea kwa kasi na kusababisha hali yake kuwa mbaya, staa wa filamu za Kibongo, Mahsein Awadh ‘Dk . Cheni’ afya yake inazidi kuimarika siku hadi siku.

Leo kamera yetu ilitembelea kwenye hospitali ya Burhani iliyopo Posta alikolazwa na kumnasa mama wa staa wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Mama Lulu akiwa amempelekea chakula cha mchana ambapo  Dk. Cheni alisema kwa sasa anaendelea vizuri tofauti na alivyopelekwa hospitalini hapo.
(STORI/PICHA: Gladness Mallya/GPL)

Post a Comment

0 Comments