Advertisement

Responsive Advertisement

Basi la Princess Muro likipata ajali Mikumi mkoani Morogoro - hakuna aliyepoteza maisha.!!



Basi la abiria la kampuni ya Princess Muro likiwa limepata ajali eneo la Mikumi mkoani Morogoro –May 07,2014…Basi hilo lililokuwa likitoka Njombe kwenda Jijini Dar es Salaam na kujeruhi watu kadhaa. Katika ajali hiyo, hakuna aliyepoteza maisha.



Basi hilo lililokuwa likitoka Njombe kwenda Jijini Dar es Salaam na kujeruhi watu kadhaa. Katika ajali hiyo, hakuna aliyepoteza maisha.

4

Post a Comment

0 Comments