“Hakuna kitu kama hicho, hayo ni maneno tu ya watu.Mimi na Ali Kiba ni kama dada na kaka, hakuna linaloendelea.Kifupi ni kwamba huyo Kiba mwenyewe sijaonana nae muda mrefu sana”
Huo
ni utetezi wa Wolper baada ya madai kwamba wamerudisha penzi
lao lililokufa miaka mingi iliyopita na kwamba wawili hao hivi
sasa wamekuwa wakikutana kwa siri kubwa kutokana na kila mtu
kuwa na mtu wake…
Habari
kutoka kwa familia ya Jack Wolper zinadai kuwa hivi sasa
wawili hao wamekuwa pamoja tena baada ya kukutana hivi
karibuni na kukubaliana kurudisha penzi lao…
Wolper mara kadhaa amenukuliwa akidai kuwa Ali Kiba ndiye mwanaume aliyembikiri siku za mwanzoni kabisa kuingia jijini Dar wakati huo wote wawili wakiwa siyo mastaa
0 Comments