Ni katikati ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga -
Ujenzi wa barabara ukiwa unaendelea ambapo leo mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya uchimbaji madini ya African Barrick bwana Brad Gordon (hayupo pichani) amekagua ujenzi wa barabara unaoendelea mjini Kahama,mgodi huo ndiyo ukiwa ni wafadhili wa mradi huo ambao wametoa shilingi bilioni 3.2 kwa ajili ya ujenzi wa kilomita takribani 6 za barabara mjini Kahama mkoani
Shinyanga ambao umeanza mwezi Desemba mwaka jana(2013) na unatajiwa kukamilika mwezi Juni mwaka huu(2014) ukiwa unasimamiwa na wakandarasi kutoka nchini China
|
0 Comments